#ToboaSiri: Ex Wangu Anasema Atajiua Nisipo Muoa

Kila siku katika kipindi cha Mbusii na Lion Teketeke ambacho hujia kwako kila siku ya wiki kuanzia mida ya saa tisa hadi saa moja, huwa na visanga na vishasha chungu nzima.

Haya yote ni katika kitengo cha toboa Siri ambapo wakenya hutuma ujumbe na kutoboa siri ambazo zimekuwa zikiwasumbua kwa miaka.

Jamaa mmoja aliwashangaza watangazaji hao wawili alipofichua kuwa mwanadada aliyekuwa mpenzi wake wa zamani alimtishia kuwa atajitia kitanzi kama hawatarudiana naye.

Pata uhondo kamili.

&feature=youtu.be