Toto Dume! Mtazame Daktari wa Naija anayempagawiza Vera Sidika

Mkenya Vera Sidika  amekuwa akiashiria kwamba anamtafuta mpenzi mwingine na huenda ameshafaulu kwa hilo .

Amekuwa akipiga  chezo chezo na daktari kutoka Nigeria  Badmus Tommy Daniel  kwenye  instagram na hata kumwita majina ya kimahaba .

Vera alitengana na mpenzi wake wa zamani ambaye pia alikuwa daktari  mtanzania Jimmy Chansa  baada ya uhusiano ulidumu miezi saba .

Dr Tommy  ni mwanajinakolojia  na zamani alikuwa Model huko Dubai  na kulingana na picha zake mitandaoni amekuwa akisafiri ulimwengu mzima kweli.

Vera aliiweka picha yake mtndaoni akijivinjari na rafiki zake na Tomy akamuandikia ujumbe ;

BE SAFE OUT THERE,’ Aliandika

Vera  alijibu

THANKS HUN 🥰 .

Mashabiki wa Vera walikuwa tu pembenei wakijisomea sopa opera hiyo na haikuchukua sekunde kabla ya maoni yao kuanza kutiririka

onseriolilian @queenveebosset thanks for the new in-law hatuezi kaa ivo without one alaaah doctari feel at home.

Achieng seems she [Vera] has a thing for docs.. we will welcome him too ♥️♥️

Kelly King’ori zdaddy be looking like a snack .

kiki.g.kinyua @queenveebosset senjeee, halo halo halo halo  I’m I smelling a new in law?

miss_baraza Another doc? The last one couldn’t maintain Vee’s body, alikua anakaa intern. This one will do her free surgeries till she grows old  .

ahmedshariff @queenveebosset sikuhizi unatafuta tu madaktari…usisahau corona inaanza na madaktari.

gw374580 @queenveebosset soo mliachana na bwanako wa tanzania?

shishythemodel Wueeehh who else is seeing something else, forget about the tissue challenge hahah @timmytdat ujaluo shuma ni doshi

catekaddy @queenveebosset doctor mwingine?no, try a shamba boy Vee.

abbycherestal @doctor new in-law in the pipeline vindu smart.

Jipe uhondo kwa picha za  Dr Tommy Daniel,’daktari mpya wa mapenzi’ wa Vera Sidika