diamond mom

”Tulioana na mume wangu ili tujivinjari sio kupata watoto” Mamake Diamond asema

Mamake Diamond, mama Dangote asema kuwa hakumuoa mume wake Rally Jones kupata watoto bali kujivinjarai na kufurahia maisha.
Mama Dangote and husband Rally Jones

Vilevile, alisisitiza kusema kuwa, mume wake anampenda alivyo na ikushangaa itakuwaje watu wanataka apate mtoto mwingine hata na uzee wake.

“With all this maturity, you are asking me to give birth? We got married to have a good time and not to give birth. My husband loves me just the way I am,” Mama Dangote alisema.

Dili nono baada ya Sauti Sol kukutana na Obama, Savara aeleza

 Bii huyu alisema maneno hayo baada ya mtoto wake wa kike binti Esma Khan kumwomba mama yake amzalie dada mdogo.

Esma alimwambia mama yake;

“We are only two, myself and Diamond Platnumz. If she gives birth to another baby, we will appreciate. I will raise her myself like my own. Mother, please, only one baby girl.”

Patanisho: ”Alinitusi kwa sababu mama yangu ni mgonjwa”

Je tusubiri mama Dangote ajifungue kidosho?

Photo Credits: courtesy

Read More:

Comments

comments