"Tumeyajua mengi na tutarudi tukiwa imara," Olunga asema

Mshambulizi wa harambee stars Michael Olunga amesama kuwa vijana wa timu wamesoma mambo mengi kule nchini Misri hasa katika mashindano ya AFCON.

Stars ilibanduliwa katika awamu ya makundi baada ya kupata alama tatu na kumaliza ikiwa katika nafasi ya tatu juu ya mahasimu wa jadi Tanzania.

Wachezaji wa Harambee stars hawakusahau kuwashukuru wakenya kwa ushabiki wao uliokidhiri mipaka wakati wa michuano hio.

Stars ilihakikishia wakenya matokeo ya kufana wakati ujao kwenye michuano ya AFCON. Olunga aliyecheka na nyavu mara mbili amesema kuwa stars itajitahidi kisha irudi kwenye mashindano hayo ikiwa na nguvu mpya.

Kwenye mtandao wake wa twitter Olunga alisema: "Thank you all for the support. We appreciate it.

Hope this experience can be vital in the upcoming assignments. We will definately learn from this and strive to make progress

Once again, it was an honour to represent KENYA 🇰🇪 pic.twitter.com/QTiqNTmxnE."

— Ogada Olunga (@OgadaOlunga) July 2, 2019

Wachezaji wengine wakiongozwa na nahodha victor mugumbi wanyama hawakusahau kuwashukuru wakenya kwa ushabikiwao uliokidhiri mipaka licha yao kubanduka kwenye mashindasno hayo.

Victor Wanyama:"It’s been Our dreams to participate in this special tournament. Obviously we wanted to do well and go through the next stage but we fell short, we have learned a lot and that’s the key,the lesson we have learned here, we can only get better.

Thanks to all the fans who have been behind us since we started our journey."

erick_marcelo_ouma:Don't give up because everything has its own time and it's all worth the wait.🙏🙏🙏