Cherry Sue

Tunayaona ya Firauni kweli! Bi Harusi aenda harusini na jeneza

Ama kwa hakika, ni wazi kuwa wahenga wa kale hawakuwa wanatupaka mafuta kwa mgongo wa chupa waliposema, ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni.

Wapenzi wawili waliokuwa wakifunga pingu za maisha waliwashangaza wengi sana pindi bibi harusi alipoenda harusini na jeneza.

”Huwa natia bidii kwa sababu yake” Awiti afunguka

Binti huyu alifika kule na jeneza la rangi nyeupe likafunguliwa na mwanamume asiyejulikana na bi harusi huyu kutokea.

Video hii iliwekwa kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter na wengi waliorodhesha maoni yao kwa mshangao.

Fayma azungumzia mimba ya Nana, asema sio ya Rayvanny

– Bride arrives her wedding in a coffin.pic.twitter.com/6c8Sgp1AnA

— Postsubman (@Postsubman) November 16, 2019

MAAZI ‘LyonS 🦁👑 At a point, I expected thunder to strike her so she could be dead for real. This is sick

R∀GNAR❍K “Till death do us part” ???Nah. “Even in death, we parteth not”

MRMAN 🔊 It’s a lie, I am done . I no marry again ooo

J Cole’s birthday mate😁 And they re screaming and clapping 🤦

Alhaji kez Mad

Ira She just put “over my dead body will I marry him ” into actions

Screenshot

Screenshot

Screenshot

Screenshot

Screenshot

Photo Credits: courtesy

Read More:

Comments

comments