Tutasaidiwa vipi? Wanawake waja wazito wasimulia wanavyohudumiwa hospitalini

Ninaamini kuwa kila wakati wapenzi au kina mama hupata ujauzito, wao hutarajia kuhudumiwa vizuri kila wakati waendapo hospitalini lakini je mambo huenda unavyotarajia?

Swali liliulizwa katika mtandao wa kijamii wa Facebook wa Radio Jambo na wakenya wengi haswa mabinti walifunguka na kuorodhesha walivyohudumiwa katika hospitali za serikali humu nchini.

Nilijawa na simanzi si kidogo nilipoona eti wanawake hufukuzwa hospitalini na hata wengine kujifungua katika mlango mwa hospitali kabla ya kuhudumiwa.

Kupitia maoni ya mashabiki wa Radio Jambo ilkuwa ni wazi kuwa wanawake wengi siku hizi wanaona ni heri wajifungue manyumbani mwao kuliko kwenda hospitalini.

Hizi ndizo baadhi ya ujumbe au malalamishi kutoka kwa mashabiki wa Radio Jambo;

  • Daktari alinipima akaniambia njia bado nishuke kitandani akaniacha nikishuka. Nilipokuwa naenda mahali pa kungojea eee sitawahi sahau. Mtoto alishikwa bila hata gloves then wakaniambia ninyamaze. But thank God my daughter is fine.
     
    1 reply
  •  WA IGUNGA TANZANIA, Du! hili swari naliona halitulengi sana sisi madume ngoja nijitulize tu leo. ila nawapata vyema sana mubarikiwe uongozi mzima wa hapo studio.
  •  I almost beat some nurses, neglecting my wife, if I could not raise my voice together with my brother's wife, she could delivered on the floor, KIAMBU DISTRICT HOSPITAL, 2013,,,
     
  •  Mimi sijawahi ni uchungu tu ya kujifugua , nashukuru mungu...nafikiria Mimi ndio niliwasumbua#daktari njoo unipeleke theater nitakufa🤣🤣🤣🤣

    • Niko kuresoi na mimi c.h.v aba kwetu. Wamama wengi wanalalamika sana uku wakisema eti wanasumbuliwa sana kwa maospitalini ya kiserkali. Jusi tumeshauriwa tuingie nyumba kwa nyumba kuwasi wamama waje hospitali ya serkali wasalishe uko. Wamama wanasema wanataka cliniki ya kipinapsi ndio uduma bora yabatikana uko,
    •  Nilifika hosi saa nne ya usiku ,,nilipofika nikampata sister akaniambia msichana tembea akaingia ndani ya bed akaanza kupigia cjui ni bf Ana hubby,,,ety ,,,,,
    •  Olololua Ngong Kajiado North niko locked miye nilikuwa ma bahati nilihudumiwa na wale kufanya kazi kwao ilikuwa ni mwito na wala sio kazi tu nawashuru.
       
       Nilifukuzwa nikaambiwa siumwi nikaenda private nikajifungua salama
    •  massawe ,chenye nliona eldoret refferal nliachwa na daktari eti anaenda lunch na mtoto amefka

      • massawe ,chenye nliona eldoret refferal nliachwa na daktari eti anaenda lunch na mtoto amefka
      •  Mimi nilitoka nyumbani kama mtoto amefika kujifungwa,lakini vile nilifika nikaa biwa niende receptionist instead of kwa Ward kufika huko nikatapika,maji ya kamwagika madaktari wenye walikuwa hapo wakesema jikaze utapoa nikarudi Tena kwa yule ambaye ali