Here_is_Diamond_Platnumz_and_Tanasha_Donna_baby-min

Uchawi ama? Mamake Diamond amlazimisha mjukuu wake kuvaa hirizi

Mamake Diamond Sandra Sanura amelazimishwa kufunguka na kueleza kama anaamini mambo ya uchawi au la.
Mamake mwanamziki huyu amekuwa akiweka picha za mjukuu wake kwenye mtandao wa kijamii na mashabiki wengi walivutiwa na kamba nyeusi iliyokuwa kwenye mkono wa kushoto wa mtoto huyu.
Tanasha Donna's child

Mmoja wa mashabiki wa mamake Diamond,jina lake Ancilaassenga aliuliza mbona mtoto huyu ana hirizi baada ya kuona picha za mtoto huyu.

Siri imetoboka! Jinsi wakazi wa Nairobi hujipata kwenye ndoa

”MSHAMFUNGA DAWA MUNGU MBONA NDO KILA KITU, CALENDAR IMEWAACHA NYUMA SANA BADO MPO HUKOO [YOU’VE ALREADY INTRODUCED THIS YOUNG SOUL TO SUCH BELIEFS YET GOD IS THE ONLY PROTECTOR. YOU’RE STILL BACKWARD],’ aliandika.

Nyanya huyu mwenye umri wa miaka 52 alijibu swali ile na kusema kuwa kufunga hirizi ni mila na destruri zao.

” NDIO ZETU WATANDALE”. Mamake Diamond alisema.

Wengi hudhani hirizi hizi huwasaidia watoto hawa kutopata magonjwa na pia huwasaidia watoto hawa wasiangaliwe na macho mabaya yaani macho ya uchawi.

Tazama orodha ya maoni ya mashabiki wa mamake Dangote.

Pesa sabuni ya roho! Tazama nyumba mpya ya Zari Hassan

ushindimaarifa Vipi kuhusu icho kifundo cheusi cha kazi gani mkononi

krasheedy @ushindimaarifa Huo ni mvuje kwa ajili ya mapepo au ilibilisi

 shanizprinces @ushindimaarifa hehehehe hirizi….uuuuiii kwani huamaanisha Nini jamani?? Ama ndo bangle ya maridadi

ushindimaarifa @krasheedy kuzuia nn ukihitajika unafatwa vizuri sema tu watu hawana iman na muumba wao wanamsema kwa midom yao ila roho zao ziko kwa waganga

mama_dacotah @liliansaharan umeona mi wanangu hawaji kufungwa ushenzi Kama huo mtoto analindwa na Mungu unatamiwa kila kitu kumkabizi Mungu yaani na Tanasha kakubali upuuzi huo khaaa, mtoto anafungwa ushetani akiwa mdogo mpaka anakua anamizigo kibao, Mungu ndio kila kitu

mushi3560 @ushindimaarifa mimi mwenyewe nashangaa mtoto mzuri kifundo tena

llykejonness @ancilaassenga Even in Mombasa they do that alot when babies are born..waislam wengi hufanya hivyo ni utamaduni….hata wewe kunakitu unakiamini… ..stop being judgemental over other people’s beliefs , practices and culture.

 

Photo Credits: courtesy

Read More:

Comments

comments