Uhuru afanya ziara ya kushtukiza katika depo - Embakasi

Rais Uhuru Kenyatta Jumatatu asubuhi alifanya ziara ya ghafla katika eneo la kuhifadhi shehena huko Embakasi ambapo shehena zilizonaswa zinahifadhiwa.

Aliandamana na waziri wa usalama Fred Matiang’i, Katibu wa Usalama Karanja Kibicho, DCI George Kinoti na wakuu wa jopo linaloshughulikia suala hilo.