Uhuru and Sabina Chege at Waiguru's wedding

Uhuru na Sabina Chege Wawasimua wakaazi katika maazishi ya John DeMathew

Rais Uhuru  Kenyatta amewaongoza wakenya kusherehekea maisha ya msanii    John De mathew aliyeaga dunia akiwa na umri wa miaka 52 .

Mwanamuziki huyo wa Benga aliaga dunia agosti tarehe 18 katika ajali ya barabarani kwenye barabara kuu ya Thika . Hafla ya maazishi ya de mathew ilifanyika jumamosi katika shule ya msingi ya Githambia  ambako viongozi  wa kisiasa kutoka eneo la kati  waliandamana na rais Kenyatta na Naibu wake William Ruto  kwa maziko hayo.

 

 

 

baadaye  Sabina Chege mwakilish wa akina mama wa Murang’a  alialikwa jukwanai kucheza baadhi ya nyimbo za marehemu De mathew baada ya rais Kenyatta pia kusakata ngoma jukwani .

 

Tzama picha za hafla hiyo 

Read more

Photo Credits: Courtesy

Read More:

Comments

comments