Ujumbe wa Jaguar kwa mtoto wa Hamisa wazua mambo

Hamisa Mobetto hajatoka kutoka ndimi za wengi na sakata nying bado zinamfuata hata nje ya uhusiano wake na Diamond Platinumz . licha ya familia ya Diamond kutompa heshima kama ilivyowapa baby mamas wengine wa Diamond ,Hamisa ana marafiki wazito akiwemo msanii Ali Kiba mabaye hata amemtumia katika video ya wimbo wake  mapema mwaka huu .

Na yaonekana Hamisa ana mashabiki wengi wakiwemo wanasiasa wa hapa nyumbani kwani mbunge na msanii Jaguar alituma ujumbe wa kumtakia Birthday mtto wa  Hamisa  lakini baadaye akaufuta ujumbe huo mtandaoni .

Wanaokumbuka wanajua kwamba mwanawe Hamisa  Daylan  anafanana sana na mbunge huyo wa starehe  na sio babake Diamond . nan i kitu cha kushangaza pia kwamba mtoto wa Hamisa anafanana sana na mtoto wa  Jaguar

Mashabiki mtandaoni walijiamulia yao huku wengine wakigundua kwamba huenda Jaguar  alikuwa na sehemu yake inayomenzi Hamisa

Hii sio mara ya kwanza kwa watu kudai kwamba mtoto wa Diamond hafananni na mwanamuziki huyo  .imedaiwa kwamba Prince Nillan ambaye walimza na Zari  anafanana sana na mume wa zamani wa Zari marehemu  Ivan Ssemwanga.