Asbel, ambaye kwa sasa anahudumia marufuku ya miaka mine kwa kosa la kutumia dawa zilizoharamishwa katika riadha amesema tuhuma hizo zilimfanya kugeukia pombe na mke wake pia alimuacha . Kiprop alikuwa akizungumza katika mahojiano na Grace Msalame
MY ATHLETICS CAREER AND REPUTATION WAS AT STAKE AND I WAS CONSIDERING VENTURING INTO COACHING. I WASN’T MYSELF AND I ENDED UP DOING CRAZY AND ABNORMAL THINGS. MY WIFE DIDN’T KNOW WHERE I HAD BEEN AFTER I HAD BEEN ACCUSED OF DOPING. I AVOIDED GOING TO THE HOUSE BECAUSE I WAS TRYING TO FIGURE OUT THE TRUTH BUT IN VAIN,’ alimuambia Msalame.
Aliongeza ;
WHEN THIS HAPPENED I DEVELOPED STRESS AND BECAME A DRUNKARD. MY OWN WIFE DIDN’T UNDERSTAND WHAT WAS HAPPENING. IT AFFECTED MY MARRIAGE AND MY WIFE LEFT.
Bingwa huyo wa mbio za olimpiki za Beijing Mwaka wa 2008 pia alisumulia jinsi marafiki na wanariadha wenzake walivyomtenga baada ya sakata hiyo
ALL THE PEOPLE I HAD HOUSED LEFT ME AND MY RIVALS OPENLY RIDICULED ME SAYING THEY JUST REALISED I HAD BEEN BEATING THEM IN RACES THROUGH DOPING. THERE WAS LACK OF TRUST AND IT CAN GET WORSE WHEN IT COMES FROM PEOPLE WHO ARE CLOSE,’ alisema .
Aliongeza;
WHEN THINGS ARE GOING WELL, FRIENDS ARE MANY BUT WHEN YOU GO THROUGH TURBULENCE, YOU WILL BE ABLE TO IDENTIFY MOCKERS AND THOSE WHO ARE NOT FOR YOU.
Asbel alifichua kwamba wazazi wake na mkuu wake inspekta mkuu wa Polisi Hillary Mutyambai walisimama naye wakati wa akipitia masaibu hayo .
MY PARENTS AND IG SAVED ME FROM TOTAL COLLAPSE AND I AM GRATEFUL TO THEM. I AM ALSO LUCKY TO HAVE GOT ANOTHER WIFE WHO IS KIND AND UNDERSTANDING.
Akimtumia rais wa zamani wa Afrika kusini Nelson Mandela aliyekuwa jela kwa miaka 27 Asbel alisema ;
WHENEVER YOU ARE HIT BY SUCH STORMS, THERE IS NEED TO PERSEVERE AND TO STAND ON YOUR FEET FOR THE TRUTH, NO MATTER WHAT.
Mwanariadha huyo atarejea mashindanoni fenruari mwaka wa 2022 baada ya kuhudumia marufuku aliopewa . Akizungumza kuhusu tuhuma za kutumia dawa haramu ,Asbel alisema alisingiziwa
FRAMING PEOPLE BRINGS DOWN CAREERS, REPUTATIONS, THE NAME OF A COUNTRY AND THE SPORT AS A WHOLE,’
Aliongeza
TO BE HONEST, THE PEOPLE WHO DOPE NEED TO BE SHAMED AND EMBARRASSED BUT IT WAS A DOUBLE CHALLENGE FOR ME SINCE I WAS INNOCENT. DOPING IS SOMETHING I WOULD NOT DO. I EVEN ADVOCATED FOR JAIL TERMS FOR PEOPLE WHO GO INTO DOPING.
Anataraji kwamba ataweza kujikwamua kutoka lindi hilo na kuibuka na uthabiti hata zaidi
AS PART OF MY LEGACY, I WOULD LOVE TO PROVE TO THE WORLD THAT I DIDN’T DO THIS NO MATTER HOW LONG IT TAKES BECAUSE TRUTH AND TRANSPARENCY ARE BIGGER THAN THE SHAME OF CONSPIRACY,’ alieleza
Anasema kuna funzo muhimu ambalo amelipata kutokana na masaibu yake akisema ;
I LEARNT THAT WHENEVER YOU ARE HIT BY A STORM, YOU NEED TO STAY FIRM AND STAND YOUR GROUND ESPECIALLY WHEN YOU KNOW YOU ARE RIGHT. I HAVE COME TO LEARN THAT LIFE IS A CURVE AND NOT A STRAIGHT LINE