Ulichoka na Jiko saa umeamulia Gas,'Wakenya wamwambia otile baada ya picha zake na mzungu kuenea

Screenshot-from-2020-04-05-01_12_34
Screenshot-from-2020-04-05-01_12_34
Msanii wa nyimbo za bongo Otile Brown anafahamika sana kwa nyimbo zake na vibao vyake anavyovitoa kila mara na kupendwa na watu wengi hasa mashabiki wake.

Otile alimtambulisha mzungu wake kupitia mtandao wa kijamii anayefahamika kama Maddijewitt huku  posti hiyo ikiwaacha wengi midomo wazi na kusema kuwa wana uhusiano.

Otile alitengana na mpenzi wake wa kutoka Ethiopia Nabayet lakini  bado wamedumisha urafiki wao

Awali aliyekuwa mpenzi wake Otile alimtumia ujumbe wa birthday  alipoandika;

"HAPPIEST BIRTHDAY TO YOU ♥️ MAY ALL YOUR WISHES COME TRUE AND MAY YOU CONTINUE TO WIN AND PROSPER THE WAY YOU DO. MAY RONA STAY AWAY FROM YOU FOREVER AND MAY YOU HAVE ENDLESS SUPPLY OF SANITISERS AND TOILET ROLLS. LIFE’S TOO SHORT TO BE BITTER AND HOLD ON TO ANGER. NOW OR LATER, TOGETHER OR NOT, I WILL ALWAYS BE PRAYING FOR YOUR SUCCESS AND HAPPINESS. CHEERS TO MORE WINS, PEACE AND LOVE."Aliandika Nabayet.

Otile alimchumbia Vera Sidika mwaka wa 2018 kwa muda wa miezi tisa na kisha kutengana.

Baada ya picha hizo mashabiki wake walikuwa na haya ya kusema,

tony_slay254 Ulichoka na Jiko saa umeamulia Gas 😂

gifted_brian Akizeeka huyu ata kua sura mbaya..😂😂😂 rudia tu Australian

becky_vixen Haikosi vera alitudaganya otile ni toothpick😹😹😹😹😹vera why did u lie to us.. Sasa ona vile Otile anaroll na vitu safi🔥🔥🔥🔥

bobjaka1 Wuo nera ..ipiem gi Diamond? (Talk my uncle are you competing with Diamond)

nthusiii 😂 what happened to nabii??

mctonjedi @otilebrown 🔥🔥🔥 mambo Ni international tu mzee baba,,I see

xlerry_ 😂😂mimi hii replacement haijaweza 😭😭

marleni.123 Otile tena Leo ni Mzungu?? Vanee

ruth_shiru Huyu mzungu si yule wa Willy Paul🤔

kichuna_marya Unatuvuruga na hii corona 😂😂🙄

gudahwilliam Mkihesabu tunahesabu😂

flevin_ Eeeiiiish Obungaaaa yawaaa🔥🔥🔥🔥

mikebriansangara Mali Safi

allan_lantos1 Bwana mkunaji

sam_mweberi Hapo Mzae uliangukia matawi ya juu!!

n.a.n.c.i.e Otile sasa huyu ni nani? We need answers please

ndovukali Hawa wazungu wameshika vijana wetu hadi cant see the African beautiful mbele yao🤩🤩