Urembo baaab kubwa!Tazama mabinti wenye shepu adimu.

Amini Usiamini, kuna watoto wa watu walioumbwa wakaumbika.

Viuno vyao ni vya nyigu na mwili umechongeka umbola kinu. Hivi leo, Radio Jambo imewaandalia orodha ya mabinti ambao kwetu sisi,  tumeona wana shepu zinazowaacha mabingwa vinywa wazi wakisalia tu kumeza mate kwa mikupuo.

1.Wema Sepetu.

Binti Wema ni kidosho ambaye alishinda tuzo ya binti mrembo zaidi nchini Tanzania. Ni wazi kuwa, waliomtunuku tuzo hiyo hawakukosea kwani binti huyu ni mrembo sana na shepu pia anayo.

2.Vera sidika

Vera Sidika ni binti wa mumu humu Kenya ambaye pia ana umbo la kusisimua, umbo lake huteka wengi bakunja.

Ingawa Vera alifanya upaswaji ili kunogesha baadhi ya sehemu zake za mwili, pesa zake hazikupotea kwa sababu shepu yake ni ya kuvutia ajabu.

https://www.instagram.com/p/BvyRAgsF11_/

https://www.instagram.com/p/B0LGBMQhWvS/

3.Huddah Monroe

https://www.instagram.com/p/BnQsrENHLzD/

Huda Monroe ni mwana mitindo nchini Kenya.

Ukiziangalia picha za binti huyu. utasadiki pia kuwa shepu yake imehitimu.

https://www.instagram.com/p/Bjet_rploJa/

https://www.instagram.com/p/Bi4n9lvF4dn/

4.Sarah Hassan

https://www.instagram.com/p/BdUQhUbHaj5/

Sarah Hassan ambaye alijulikana sana kwa kipindi cha 'Tahidi High' ni binti aliye na shepu ya glasi.

https://www.instagram.com/p/BWiTr9IDtYq/

Binti huyu ameolewa na ana mtoto mmoja lakini hata baada ya kupata mtoto, ameweza kutunza  mwili wake vizuri na kuhakikisha kuwa shepu yake haibadiliki.

https://www.instagram.com/p/BAhEFbkqLyP/

5.Massawe Japani

Massawe Japanni ambaye ni mtangazaji wa Radio Jambo hajawachwa nyuma kabisa kwani, binti huyu pia ana umbo mzuri sana.

https://www.instagram.com/p/B0jLCZkgq0W/

https://www.instagram.com/p/B1u8hL0A1Kv/