‘Umechoka kuwa na subira unavuta bangi?’ Mashabiki wamuuliza Tanasha baada ya kuonekana akivuta sigara

93451567_682160782550131_1820347027348136511_n-696x866
93451567_682160782550131_1820347027348136511_n-696x866
Kwa sasa, Tanasha ametambaa kwa mitandao kwa muda mrefu, si mara kutemana na Diamond, si kuvunja na kukaidi amri ya kutotoka nje na mengine mengi.

Tanasha amewashangaza wengi hasa mashabiki wake baada ya kuposti picha kwenye mtandao wa kijamii akivuta sigara.

"UMECHOKA KUVUTA SUBIRA SA UMEHAMIA KWENYE BANGI?" Aliuliza.

Hii si mara ya kwanza kupatikana wala kuposti picha akiwa anavuta bangi.

Katika muziki wake na video alivuta sigara akiwa mjamzito wa miezi saba wakati huo, baada ya kuona vile mashabiki walivyouliza maswali alijitokeza kujitetea .

“SOME MAY RAISE CONCERNS ABOUT THE WHOLE SMOKE FACTOR, WHICH IS UNDERSTANDABLE. FIRST OF ALL I CANT STAND CIGARS, THEY STINK AND IT IS GROSS.”Tanasha Alijitetea.

Huku akizidi kujitetea,

“SECONDLY, I WASN’T INHALING ANY BIT OF THE CIGAR INTO MY LUNGS AT ALL, AT ALL, PURELY DID IT FOR THE SMOKE EFFECT AND WENT TO CHECK IF EVERYTHING IS FINE AFTERWARDS AND MY SON IS PERFECTLY HEALTHY.

THOUGHT I’D SET THE RECORD STRAIGHT.” Alisema.

Baadhi ya hisia ni kama vile zifuatavyo;

simonalfred255: @evancenicholaus stress haziachi mtu salama.
evancenicholaus: @caroline_juma1 na mbaya zaidi mpaka sasa hata dawa yake haijapatikana😂😂😂
eve.rry: @kianth11 yes na Ile wimbo wake ingine alikua anavuta cigger upo hata diamond utumia mpaka dawa zile kali life is short bro watu lazima wajibambe 😂😂
ferrer3808: @shantymcute ….I hate the illiteracy in Tnzanians haki!!! Plus you can’t differentiate mwanamke na mwanaume🤮🤮🤮
 dogoake_tunguli: @evancenicholaus 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 yaani una ufala mwingi wewe.