'Umenifunza ukweli wa mapenzi,' Ujumbe wa Luwi kwa muigizaji Maria

Ni kipindi ambacho kinatazamwa sana Afrika mashariki na wananchi tofauti kwenye runinga ya Citizen. Kipindi cha Maria kimewapendeza wengi nchini.

Kipindi hicho kinahusu familia tajiri na familia nyingine ya kutoka maeneo duni bali kiini cha kipindi hicho ni mapenzi na upendo.

Muigizaji Luwi anampenda msichana anayefahamika kama Maria wa kutoka katika maeneo duni lakini kwa ajili ya cchangamoto za hapa na pale uhusiano wao unakuwa na mshikemshike.

Wawili hao wanaigiza kama wapenzi katika kipindi hicho awali Luwi alimwandikia Maria ujumbe na kumwambia amemfunza maana ya upendo wa kweli.

"@YERSMIN_SAYED YOU’VE TAUGHT ME THE TRUE MEANING OF LOVE, I LOOK AT YOUR EYES AND ALL I SEE IS HEAVENS ☺️ VOLUME IKO AJE?" Ujumbe wake ulisoma.

Kwenye posti yake nyingine ilisoma ujumbe huu,

"#LOVEREDEFINED IT’S BEEN A MINUTE @YERSMIN_SAYED YOU MAKE ME TICK #LUWIWAMAPENZI."

Mashabiki wao wanatamani wawili hao wawe mapenzi katika maisha yao. Hizi hapa hisia za mashabiki wao;

mayumi_001 Si mungekua Tu couples WA kikwel…😭😍😍😍u making me to feel jealous🤣🤣😢😢
agnessymgoi Nawapenda sna Maria na Luwi ❤️❤️❤️
thormers_thormers Marry each cha ukweli..sir_luwihausa🔥
staced12j  Wow greatest and most compassionate couple in acting❤️❤️❤️