Umri wangu mchanga, sitaki stress !- Bahati amwambia Diana marua

DianaMarua_1024x883__1561560717_17621
DianaMarua_1024x883__1561560717_17621
Staa wa muziki wa injili afrika mashariki Bahati amemfungukia la moyoni mpenzi wake Diana Marua kuhusu anavyowachukulia wanawake wakiwa na ujauzito. Katika video fupi, Bahati anateta kuhusu wanawake kuwa na hasira za mkizi ghafla wanapopata ujauzito.

Tazama hapa:

https://www.instagram.com/p/BzIqM-WAD53/

Soma hadithi nyingine:

Hii inafuata siku chache baada ya staa huyu kuhusika katika skendo ya kuchepuka katika mahusiano yake na mkewe. Katika video hii iliochapishwa katika mtandao wa instagram Bahati anamweleza mkewe kuwa yeye bado ni mchanga na hapendezwi na mawazo ya kichwa ya wanawake.

"Mnaweka moods and the you blame it on pregnancy. Unanunuliwa kiatu you're like ooh mi sipendi hii... Whats Up with women?" aliuliza Bahati.

Bahati ni kati ya mastaa nchini ambao wana ufuasi mkubwa zaidi katika tansia ya muziki wa injili. Kwenye video hio, Diana anamjibu.

Soma hapa uhondo:

"So you want to say you're blaming it on Pregnancy? And babe stop generalizing people." alimjibu Diana.