Unampeza Diamond,'Mashabiki wamwambia Zari baada ya kutoa maoni kwa ujumbe wa Diamond

Princess Tiffah
Princess Tiffah
Mwanawe msanii wa bongo Diamond Platnumz na mwanabiashara Zari assan, Princess Tiffah alifikisha miaka sita mnamo tarehe 6, Agosti, huku akisharehekea siku yake ya kuzaliwa Tiffaha alipokea jumbe za mahabara kutoka kwa wazazi wake na babu zake.

Jambo kubwa ambalo lilikuwa laungalifu sana ni maoni ya Zari ambayo alitoa kwenye ujumbe wa Diamond aliokuwa amemttumia Mwanawe Tiffah siku hiyo ya kipekee.

Ujumbe wake Diamond kwa mwanawe ulisoma,

 :you miss Diamond and it shows

: all of you can't be stupid at the same time, so communicating and in peace with her baby daddy is equal to missing him,please mind your business or borrow some sense

: bora Akuoe Mulee Watoto wenu

: hongera Mama tee umekuza👌

 :waambie watoto wamfollow baba yao

: 𝐻𝑜𝑛𝑔𝑒𝑟𝑎 𝑀𝐴𝑀𝐴 𝑇𝐸𝐸 𝑘𝑤𝑎 𝑘𝑢𝑚𝑧𝑎𝑙𝑖𝑎 𝑆𝑖𝑚𝑏𝑎 𝐵𝑒𝑎𝑢𝑡𝑖𝑓𝑢𝑙 𝑘𝑖𝑑

: mama T . karibu Tanzania tena bhan

: wife to be welcome back madale we love youu😍😍😍😍😍😍😍😍😍

: Zari be ready to be trolled by baby daddy circle of umbea 🤷🏾‍♀️