Unaomba Ukiangalia wapi? Hisia za wakenya kuhusu zawadi ya MCA wa Uthiru kwa mkewe

Hawakukosea waliposema kuwa pesa hunena na mwakilishi wadi wa Uthiru Eric Warungu amethibitisha hayo baada ya kumzawadi mkewe Njeri Warungu gari la aina ya Mercedes Benz huku akisherehekea siku yake ya kuzaliwa.

Kupitia kwenye video ambayo imesambaa kwenye mitandao ya kijamii, mkewe Eric alipoona zawadi hiyo alijawa ha mhemko na hisia, licha ya kuwekewa baluni kwenye gari hilo lilikuwa pia limeaandikwa jina lake ili kuthibitisha ni lake.

Wawili hao wamebariikiwa na watoto wawili kwenye ndoa yao.

Soma baadhi ya hisia za wanamitandao wengi huku wakisimulia jinsi kitendo hicho ni cha kufana,

Mercy Njoki: Na mimi naambia boyfriend ati nataka mia mbili ya kunyolewa anasema ati ningoje nywele irefuke kidogo.
Stacy Viriango: Which side of the mountain does she face while praying? I want God to also answer my prayers. Congratulations to the new Mercedes Benz owner.
Nelly Mungai: The wife’s desire was a Benz from pics you can tell she has taken care of this great man. They have come from humble beginnings and proud of them may God open more doors and bless u abundantly. Congratulations Njeri wa Eriko.
Annah Njeri: Now some women will insult their husbands in directly because of this.
What some people don’t understand it’s that he is able to and that’s why he did it.
Wait for your men to reach that level s to and they will gift you what you also dream of. But meanwhile appreciate what he can afford if he is doing his best.
Charles Njuguna: Hata Mimi Nina efforts zangu za kuingia kwa nyumba kama nimebebea familia ka-yoghurt na nyama quarter…. Kwani iko nini….. Hehehe….Who is laughing now?
Stephen Echoto Ekai: If you treat your husbands like Kings and respect him and his relatives then you have all reasons to be treated well.Anything contrary to that then expect the same treatment.
Je ni kitendo kipi hicho ulifanyiwa na mpenzi wako cha kufana ambacho hutosahau kamwe.