United Nations kufunga bendera 193 nusu mlingoti ili kuomboleza

Ni wingu jeusi ambalo liliweza kupata shirika la United Nation, kupitia ajali ya ndege ya Ethiopia iliyotokea juma pili asubuhi dakika chache baada ya ndege hiyo kung'oa nanga.

Ilisababisha vifo vya wananchi wa Kenya 32, huku 19 wakiwa ni wafanyakazi wa UN, shirika hilo ni miongoni mwa mashirika ambao wanaomboleza vifo vya wafanyakazi wao.

Wananchi wanaomboleza ajali hiyo kwa kuwapoteza wapendwa wao, waliokuwa katika ndege hiyo walikufa wote abiria ambao walukuwa 157.

United Nations waliweza kuandika katika mtandao wao wa kijamii wa Facebook kuwa wataweza kufunga bendera 193 nusu kwa ishara ya kuomboleza vifo vya wafanyakazi wao.

"We know that there were a significant number of UN family colleagues on this morning’s Ethiopian Airlines flight from Addis Ababa to Nairobi, many heading for tomorrow’s opening of the UN Environment Assembly,

"The Department of Operational Support is working to establish the full picture. Our thoughts are with the families of all affected and we will work with administration to make sure the necessary assistance is provided to them." UN iliandika.

Hawa kuweza kunyamaza bali waliweza kuongeza na kuandika usemi wao kuwa...

"Based on TRIP and UN travel agencies, 19 staff are reported as having been on the flight.However, the number may change once the flight manifest is released. Flags will be flown at half mast tomorrow.” Ilisema UN.

Wananchi wengi waliweza kushtuka kwa sababu ya ajali hiyo, ajali hii ilitokea siku chache baada ya ajali ya ndege kutokea eneo la Turkana huku ikiwauwa abiria wote na rubani wake.

Wananchi wengi waliweza kutuma rambirambi zao kupitia mitandao yao ya kijamii, zifuatazo ni baadhi ya rambirambi ambazo waliweza kutuma.

Pius Yapia Attandoh: Going for a conference in Nairobi only to not return alive?Hmmm….this life!!!

Our kind thoughts are with their families, and may their souls rest in peace.

Aslam Khan: Feeling very sad for the UN staff and other passengers death in the tragic flight. One on former colleague Bensen with OCHA Nairobi is included. Rest in peace and God bless their souls.

Chantal Fiaferana: Heartbroken RIP dear UN /family colleague . So sad 😢😢

Mungu alaze roho zao mahali pema, kweli ajali haina kinga.