Unyanyapaa ulinifanya niziwe kwa gazeti la Parents Magazine,asema Kambua

kamb
kamb

NA NICKSON TOSI

Mtangazaji wa runinga ya Citizen na muimbaji Kambua amefichuwa kuwa ukosefu wa kukosa mwana na unyanyapaa kutoka kwa umma ulimfanya akose kushirikishwa katika gazeti la Parents Magazine miaka 4 iliyopita.

Katika ujumbe tulioutazama ,mtyangazaji huyo wa kipindi cha Rauka alisema swala hilo lilimfanya kufikiria zaidi na kuelezea historia yake kutokana na  uoga na kubaguliwa na ummaa.

“About 4years ago I met Eunice Mathu (Dir. Parent's Magazine), in Wamba, Samburu. I'd gone there with AMREF Health Intl. for the Alternative Rites of Passage for girls. Anyway, she asked me to grace the cover of her magazine and I quickly declined, exclaiming, "But I have no children"! She insisted that even though I didn't, I still had a voice to speak into that space. Well, I didn't. I wasn't ready. Looking at this cover my eyes well up because God was and is still writing my story. Thank you Eunice Mathu for finding me worthy even when I doubted myself,”ulisoma ujumbe wa  Kambua.

Kmabua anayetazamiwa na wengi kama kielelezo alikiri kuwa mtoto wake aliyejifungua ni miujiza ya Mungu baada ya kupitia kwa changamoto si haba.

“My years of waiting were so daunting. But I wouldn't take them back. The lessons God taught me...the encounters I have had with Him, are all priceless. When the pain was gut wrenching and my heart nearly drowned in tears, I never stopped believing that God would come through for me (whichever way He chose to). And as I hold my toto today I am reminded that God gives good gifts. My baby Nathaniel is a miracle; He is, as my husband likes to say, a world-changer and a history-maker. And I believe His life will continue to bring glory to God,” alisema  Kambua.

 Kambua ambaye kwa sasa yuko katika gazeti hilo la Parents Magazine aliwahimiza wanawake wote wanaopitia katika changamoto kama hizo kumwamini mwenyezi Mungu na kufahamu kuwa io siku Mungu atafungua milango.

“May every waiting womb be reminded that God remains faithful even when we are faithless? As you wait, my tent remains pitched right next to yours, in the land of hope. I haven't crossed over alone. We will cross together, leaving no one behind. None of us shall be left drowning in despair. Our stories, regardless of how they unfold, will be beacons of hope along ancient paths. If you're still trusting for a miracle, just drop me a 💓. I'm praying for you 🙏🏾💛,” alisema Kambua.

Kambua na mumewe Jackson Mathu walikaribisha mtoto wao wa kwanza baada ya miaka 7 kwa ndoa.