Upuzi wa viongozi wa Afrika! Atundika picha yake kwenye sanitizer zilizofadhiliwa na Kampuni

EWRDzaCXkAAyLJh
EWRDzaCXkAAyLJh
NA NICKSON TOSI

Bara la Afrika limejaa viongozi waliojaa vimbwanga na viroja vya kila mara. Katika taifa la Zimbabwe, waziri wa Haki alipokea ufadhili wa vitakasa mikono ama sanitizers kutoka kwa kampuni moja ya kuchimba madini ili kufaidi wananchi wa taifa hilo kutokana na idadi kubwa ya baadhi yao ambao hawawezi kumudu bei ya bidhaa.

Ushenzi mkubwa! Babu Owino awatunuku wakaazi wa Embakasi vitakasa mikono vikiwa na picha yake

Kinaya ni kuwa, kiongozi huyo aliamua kutumia pesa za kuendeleza miradi katika maeneo bunge yaani Constituerncy Development Fund na kuamua kuweka picha yake na ile ya rais Emerson Mnangagwa.

Passaris Apata taabu baada ya kuweka picha yake kwa vitambaa vya hedhi

Nchini Kenya, Mbunge Babu Owina na mwakilishi wa wanawake kaunti ya Nairobi walijikuta pabaya baada ya kuingiliwa na wakenya kutokana na hatau yao ya kuweka picha zao kwenye sanitizers ambazo walikuwa wanawazawidi wakenya wasiojiweza.