“Usijaribu!” Rafikiye bwana wa Evelyn wanjiru amuonya dhidi ya uhusiano wao.

Msanii wa nyimbo za injili Evelyn Wanjiru anafahamika sana kwa uimbaji wake wa kuvutia. Ni mkewe Agundabweni Akweyu.

Wawili hao walipatana kanisani mwaka wa 2008 na kuanza safari ya kuchumbiana mapema mwaka 2009.

Mambo hayakuwa rahisi katika uhusiano wao kwa sababu rafiki yake Akweyu alikuwa pia ametekwa moyo na urembo wa Evalyne na alikuwa tayari kumrushia ndoana ya mapenzi.

Ilifika mahali, rafiki yake alimuonya na kumtishia asijaribu kumchumbia. Mumewe Evelyn alifichua haya alipokuwa katika mahojiano na kusema,

"HE TOLD ME ‘JUST LEAVE THIS FOR ME, DON’T TRY, IF YOU WANT TO BE MY ENEMY’ 

I WAS CONFIDENT THAT SHE WOULD BE MINE." Alisema Akweyu.

Baada ya kuchumbiana kwa muda, Evelyn alimwambia mume wake angoje kwa muda wa miaka minne kwa sababu hakuwa tayari kwa ndoa wakati huo.

"MY MUM CALLED MY SISTERS AND AUNTS TELLING THEM THAT I HAD TO GO FOR A DATE. SHE BOUGHT ME CLOTHES AND GAVE ME 200 SHILLINGS.

SHE TOLD ME TO MAKE SURE I TAKE JUICE AND THE REST USE IT FOR TRANSPORT BACK. JUST INCASE HE FAILS TO PAY…

HE TOLD ME HE WAS LOOKING FOR A WIFE AND I TOLD HIM I WAS NOT READY, I HAD JUST FINISHED SCHOOL. I TOLD HIM TO WAIT FOR FOUR YEARS. HE WAITED AND IT HAPPENED." Evelyne Alieleza.

Wawili hao wamekuwa katika ndoa kwa muda wa miaka kumi na moja, kando na kuwa mume na mke pia ni wafanyibiashara.

MHARIRI: DAVIS OJIAMBO