'Utalaaniwa.' Jacqueline Wolper amwambia mwizi aliyeiba millioni 1 kutoka kwenye mkoba wake

Mwanabiashara wa nchi ya Tanzania Jacqueline Wolper anahesabu hasara kubwa baada ya mwizi kuingia kwa duka lake la kuuza vitenge Dar Es Salaam na kuiba pesa.

Wolper alisema kuwa mwizi huyo ambaye alikuwa ni mwanamke aliiba millioni moja, Ksh 46,000 pesa taslimu za Kenya.

"IT WAS A WOMAN, SHE CAME AND TRIED OUT SOME CLOTHES AT MY SHOP AND IT WAS ABOUT 8:00PM. THE LADY HAD ON A BUIBUI AND A MASK SO I COULDN’T SEE HER WELL’

I HAD PUT MONEY ON MY HANDBAG AND THE ZIP WAS OPEN AND THERE WAS MONEY. I HAD 1 MILLION TANZANIAN SHILLINGS ON MY BAG AND THE CUSTOMER TOLD ME SHE HAD GONE TO WITHDRAW MONEY AND SO SHE RAN AND GOT A BODABODA

I NOTICED AFTER AN HOUR THAT THE MONEY WAS NOT THERE. I ASKED AROUND AND IT LED US TO THAT LADY. I REOPTRED THE CASE BUT MY PARENTS ASKED ME TO FORGIVE." Alieleza Wolper.

Alizidi kuzungumza na kusema kuwa mwanamke huyo atalaaniwa kwa maana ameiba mwezi mtukufu wa maombi.

"SHE WILL BE CURSED ESPECIALLY NOW THAT SHE HAS STOLEN IN THIS MONTH OF PRAYER. THAT IS LIKE ASKING FOR A CURSE"