Wahiga Mwaura na Joyce Omondi

Valentines: Joyce Kupewa mshangao na Waihiga siku ya wapendanao

Huku wananchi wakisherehekea na kuidhinisha siku ya wapendanao Februari, 14,J oyce Omondi hakuwachwa wala kusaulika katika mawazo ya mpenzi wake Waihiga Mwaura.

Wahiga Mwaura na Joyce Omondi
Wahiga Mwaura na Joyce Omondi

Alikuwa akimalizia kipindi chake cha ‘full circle’ huku akiwatakia mashabiki wake siku ya wapendanao njema.

“Nawatakia siku ya wapendanao njema na asanteni kwa kutazama kipindi,”Alisema Joyce akimalizia kipindi chake.

Kifo hakina huruma: Vile wachezaji Joan na Valerie walifariki – Willy Paul

Ndipo mpenzi wake aliweza ingia ndani akiwa amebeba kikapu cha matunda na maua. Joyce hakuweza kujua ama ni mpebnzi wake ameingia na maua alipogundua ni yeye aliweza kufurahi, kisha kuandika katika mtandao wa kijamii wa instagram kwa kimombo akimshukuru mume wake.

Jumbe zifuatazo aliandika katika mtandao wake wa kijamii:

Mbwa mwitu! Church leader helped his victim procure an abortion

Sooo, this happened today! I’m not big about Valentine’s day but my everyday valentine, #theonehekeptforme @waihigamwaura, gave me such a beautiful surprise LIVE on my show #FullCircleWithJoyce this morning! I totally didn’t see it coming…weh! hahaha, the look on my face!🙆🏾🙆🏾 I literally had to sit down afterward, lol! Check out my insta story for the link to the full video!#grateful #blessed

Joyce Omondi
Joyce Omondi

More than what I wanted, everything I never had. @waihigamwaura, #theonehekeptforme, aheri ❤ My every day valentine.#whatasurprise#blessedbeyondmeasure#godlyhusband#marriageworks#Jesusatthecenter.

Huku mashabiki wake wakimpongeza Joyce na Waihiga kwa mapenzi yao ya kufana, na kuandika jumbe katika mtandao huo huo.

Pogba apologised to Man- United team-mates after being shown red card

@davemarita…Thats [email protected]@raychelmoraa;Couple goals.. We’re all enviably happy for u God bless u both!

@gnjery…You were so composed, I wouldn’t know what to say in front of all those eyes .You are a lovely [email protected];Blessed Union

Joyce na Wahiga
Joyce na Wahiga

Ni siku ambayo wale wapendanao waliweza kuwashangaza wapenzi wao kwa maua, chokoleti na zawadi nyingi ambazo hawakuwa wanatarajia wangepewa.

Siku ya wapendanao ili weza kusherehekewa na hata na watu maarufu katika sekta mbambali na kwa njia tofauti.

 

 

Photo Credits: instagram/Joyce Omondi

Read More:

Comments

comments