Video Of The Day: Afande Ahangaishwa Na Mbuzi Licha Ya Kuwa Na Bunduki

mbuzi
mbuzi
Afande mmoja alirekodiwa akisumbuliwa na mbuzi huku akiwa ameshikilia bunduki.

Katika kanda hiyo, mbuzi huyo anaonekana akimpa wakati mgumu huku akimfukuza na pia akikabiliana na mguu wa afande huyo, huku asijue la kufanya.

Marafiki zake nao kwa mshangao na furaha wanaskika wakiangua vicheko kwani kisa hicho sio cha kawaida.

Tazama kanda ifuatayo.

&feature=youtu.be