VIDEO + Picha: Harmonize afanya harusi, WCB yatemwa nje ya milango

Wapenzi wapya Dar Tanzania sasa ni msanii wa muziki wa Bongo Fleva Harmonize na mchumba wake Sarah Michelotti.

Staa huyu wa mpenzi wake kwa siku ya jana na leo wameendelea kugonga vichwa vya habari kwa tukio lao la kufunga ndoa.

Wanandoa hawa walihakikisha wameipanga hafla hiyo kwa mbwembwe zote na hawakuwaalika mastaa wa WCB.

Soma hadithi hii hapa:

Kwa mujibu wa vyanzo vya karibu na Harmonize,  wawili hao jana usiku wamefunga ndoa na ilihudhuriwa na watu wake wa karibu tu ambao anafanya nao kazi kwa sasa.

https://www.instagram.com/p/B2JimIJhrW-/

Harmonize alipopigiwa kudhibitisha swala hilo hakuweza kupatikana katika laini ya simu. Wengi wanadhania labda staa huyu alikuwa location kurekodi video ya ngoma mpya.

Ila je, Harmonize anaweza kufanya harusi bila kuwashirikisha waliokuwa marafiki wake Diamond Platnumz, Rayvanyy na Lavalava na wengineo?

Swali hili linaweza kujibiwa kwa dalili za ushikaji kuzima kati ya wasanii hawa.

Soma hadithi hii hapa:

Hapo awali, Konde Boy alishobokea na kuposti ngoma mbili za Rayvanyy na Mbosso ilhali sasa dogo anaonekana anafanya kuonyesha ku-balance shobo na kuipiga mikausho ngoma yoyote inayotoka usafini.

Mastaa wa karibu na Diamond Platnumz tayari washasukumu mkwaju mpya wa Yope Remix kwenye mtandao ili Harmonize bado bado.

Je, huenda ikawa Mondi alimkosea sana Harmonize kiasi cha kwamba hawezi kumsamehe? Au Huenda Harmonize anataka kupimana nguvu na bosi wake?