Video: Tazama jinsi mcheshi Eric Omondi alivyozidharau noti za Tanzania

eric-omondi1-e1525162246390-696x412
eric-omondi1-e1525162246390-696x412
Staa na fundi wa ucheshi nchini Eric Omondi amechapisha kipande cha video hii leo katika mtandao wake maridhawa wa instagram akionyesha dharau kubwa kwa noti zinazotumika nchini Tanzania. Katika video ya sekunde 20 na ushei, mcheshi huyu anaonekana kutembelea duka lililopo karibu na noti moja na kununua mandazi.

Soma hadithi nyingine:

Tazama hapa:

https://www.instagram.com/p/BzIqbqyAnyo/

Baada ya sekunde chache mwenzake mteja Tanzania anakuja amesukuma bando za noti katika toroli. Anapofika dukani, jombi huyu anatumia noti zote kwenye toroli kununua andazi moja.

Soma hadithi nyingine:

"Ndugu zangu watanzania ninawapenda Sanaa ilhali Alhamisi/Thursday hii mtatuwia radhi manake tunakuja kuwachapa Kichapo Cha Mwaka ."

Soma hapa pia:

Aidha Eric ametoa ubashiri wa mapema kuwa Kenya itawatwanga mabo mengi timu ya kitaifa ya Tanzania katika mchuano wa AFCON unaofanyika nchini Misri Alhamisi.

Omondi mapema wiki hii alichapisha video akiwa na mwanahabari Jacque Maribe na kumtaka aone mimba yake.