(+Video) WCB nawalipa hela yao, Konde Boy amwaga mtama

images
images
Konde Boy sasa anahoji kuwa alikatisha mkataba wake na lebo kubwa WCB.

Katika mahojiano na kituo cha Clouds, Harmonize amefunguka mwanzo mwisho kuhusu kuisepa Wasafi.

"Sikutoka kwa misingi ya chuki, kulikuwepo na ishu ambayo tulikosa kuafikiana sasa hapo nikaambia uongozi kuwa nataka niufanye muziki wangu..."

https://www.instagram.com/p/B4Ar2cUn5Tc/

Mkataba ulisema kuwa iwapo nitataka kuondoka na kuuvunja mkataba basi nilipe Milioni 500 (Kshs 22.5M) na hela iliyotumika kurekodi ngoma zangu..." Alidokeza Konde Boy.

Aisha Jina la Harmonize aliolipata kupitia lebo hii atakuwa huru kuitumia baada ya kumaliza kulipa kitita hicho cha hela.

Nyimbo iliyodondoshwa jana ina nembo ya WCB kuonyesha kwamba kuna mrija wa hela unaomwagika WCB hata baada ya Harmonize kukatisha uhusiano wake na lebo hiyo.

&t=132s

Katika mahojiano hayo, Jeshi amesema kuwa uhusiano wake na uongozi wa WCB sio freshi.\

Hii ni baada ya wao kutotokea katika hafla yake ya harusi na mrembo muitaliano Sarah.