Video Ya Siku: Watangazaji wa Radio Jambo wakutakia krismasi njema!

Watangazaji wa radio jambo, Massawe Japanni, Gidi na Ghost, Bramwell Mwololo na Mbusii na Lion waliungana na kuwatumia nyie nyote mashabiki wetu ujumbe wa krismasi.

Tazama kanda ifuatayo;