(+Video yavuja) Babu Owino anywesha mtoto supu, avunja dhana potovu

images (3)
images (3)
Video imevunja na kufikia mitandao ya kijamii inayomwonyesha mbunge wa Embakasi Mashariki akimpa mtoto wake chakula.

Video hii na ambayo imesheheni mapenzi kibao kwa mtoto wake imechangamsha wafuasi wake katika mitandao ya kijamii.

Katika jumbe kwenye mitandao, wengi wamevutiwa sana na kitendo hiki.

Baadhi ya wafuasi wanahoji kuwa wataiga mfano huu katika familia zao.

https://www.instagram.com/p/B4B5yQHHVNW/

Kupitia kitendo hiki, Babu Owino amepuuzilia mbali miiko ya kitamaduni kuwa wanaume hawawezi kuhusika katika kuwalisha watoto.\

https://www.instagram.com/p/B3z09fVn3TO/

Katika jamii nyingi nchini, kuna dhana potovu kuwa swala la kuwalisha watoto huwa linatekelezwa na wamama.

Jumbe za wafuasi wake zilimwagika Insta,

"Babu ameonyesha mfano bora na wa kuigwa na wengi...'

"Huna mboch? Ukipata wawili unipee mmoja, pia Mimi natafuta..."

"That's being a responsible dad 💥🔥..."

" 👏👏but hio ya mwisho kiongozi ni wewe umekula😂😂...."
"😂😂😂 Mtoto analelewa kigangstar,big spoon,big waruu 🙆‍♀️🙆‍♀️...."
"Husband material pidho nyathi,material mag ogunia osegoyo sude gi loafers osewuok"