Video yavuja ! Eric Omondi na Hamisa Mobeto Kitandani

2234e
2234e
Mcheshi Eric Omondi hakeshi kuwashangaza wafuasi na mashabiki wake katika mitandao. Baada ya kuchapisha video katika mtandao maridhawa wake wa insta akimwonyesha Jacque Maribe na kumwomba apate kuona ujauzito wake, picha zimezagaa katika mitandao akiwa akiwa kitandani na mwanamitindo kutoka nchi jirani ya Tanzania. Hamisa Mobeto alikuwa mpenzi wake Diamond Platnumz na wakajaliwa mtoto mmoja.

https://www.instagram.com/p/BzIQQC6Ab7L/

Soma hapa:

Filamu hii inatokea siku chache baada ya kuachana na mpenzi wake Chantal. Mobeto anaonekana akichukua video kwa kutumia simu yake wakati na ambapo Eric yupo kwenye usingizi. Uwepo wa wawili hawa katika chumba cha kulala kunaweza tafsiriwa kwa haraka haraka kama kiki au labda mcheshi Omondi ameamua kutoka naye kimapenzi.

Soma hadithi nyingine:

Alipoachana na mpenzi wake Chantal, Omondi hakusita kuwaambia mashabiki wake katika mitandao ya kijamii.

"Tulikuwa marafiki kabla tuwe wapenzi. Kwa vijana ambao wanaofikiria kuwaua wapenzi wao wanapoachana, hii iwe funzo kwenu." alisema Eric.

Visa vya wapenzi kuuana kwa sababu ya wivu wa mapenzi vimekithiri sana nchini. Eric aliamua kutengana na Chantal kistaarabu bila matatizo yoyote na kuongeza kuwa watazidi kuwa marafiki.