Vijana wachezwa! Mary Wambui ateuliwa kusimamia ajira kwa vijana

EG243REWwAci139
EG243REWwAci139
Kuteuliwa kwa aliyekuwa mbunge wa Othaya Bi Mary Wambui kama mwenyekiti wa (Kenya National Employment Authority) kumeleta maoni tofauti tofauti kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter.

Waziri wa leba wa kazi, bwana Ukur Yatani alisema wazi kuwa amemteua Wambui kama mwenyekiti wa NEA kwa muda wa miaka tatu.
Kampuni hii ilianzishwa mwezi wa Mei mwaka huu,wakiwa na mpango wa kutengenezea wakenya ajira.

Vilevile, inasemekana kuwa, mwanamke huyu alikuwa mke wa pili wa bwana Mwai Kibaki na pamoja walipata mtoto mmoja.
Hata hivyo, mwaka wa 2004, Mwai Kibaki alikataa madai hayo na kusema kuwa ana mke mmoja pekee.Marehemu Lucy Kibaki.
Tazama orodha ya maoni ya wanaanchi wa kenya kuhusu cheo alichopewa Wamboi ilhali kuna vijana wengi nchini wasio na kazi.

 

Dr. Ouma Oluga@fnoluga

I wish to hear the ideas of Former Othaya MP and now Chairperson of National Employment Authority on unemployment of the youth.

Specifically focussing on disciplines such as Health & Engineering where 'Entrepreneurship' is not a solution to youth professionals building careers.

#TeamMwalimuDida@mwalimu_dida
 So former MP Mary Wambui has been appointed to head Kenya National Employment Authority! When you think you've seen it all and nothing can surprise you anymore, the government pulls another one! The consistency and dedication towards failure by this government is just shocking.
 
BRAVIN™@ItsBravin
 When Mary Wambui was mentioned as the new chairperson of National Employment Authority, I lost all my ability to can. How can such a 'youth' head a very useless organization? It's more of rewarding old ca
 
Frank Mtetezi™@FrankMtetezi

Congratulation my GRANDMOTHER Mary Wambui for getting anew Job thrice yet I your GRANDCHILD I'm still Unemployed ,I wish you success in your new role at the National Employment Authority

 Sammy Mohammed @Mohasamuel
 Honestly, someone should talk to our dear President. How can we grow our economy by recycling these old MPs?He should at least try one of us. We're now lacking direction. Likes of Mary Wambui should be providing food security uko ushago by doing farming. They're old. Acha walime!

Rein@Asamoh_
 Imagine Mary Wambui chairing National Employment Authority meeting where serious policy interventions and decisions are prosecuted on youth employment. Hahahahaha

Bob Jim Kiama@BobJimKiama1
 Appointing Mary Wambui in the National Employment Authority is a confirmation that Uhuru's government doesn't care about the youths in this country.Recycling failures and the old.