Viongozi wa magharibi wataka serikali kutimiza ripoti la Windsor

Viongozi wa eneo la magahribi wakiongozwa na waziri wa ugatuzi Eugene Wamalwa, seneta wa Bungoma Moses Wetangila na gavana wa Bungoma Wyclife Wangamati wameitaka serikali kuu kuharakisha kutimiza ripoti iliyojadiliwa na viongozi hao katika hoteli ya windsor mjini nairobi mwezi miwili iliopita kuhusu sekta ya sukari.

Viongozi hao aidha wamesikitshwa na hatua ya wabunge kuhongowa ili kukataa ripoti ya bunge kuhusu sukari.

Wakati huo huo walitoa risala za rambirambi kwa aliyekua katibu mkuu wa UN Kofi Anani aliyaea dunia hapo jana.

Brian O. Ojama