Viongozi katika kaunti ya Taita Taveta wametofautiana suala la kujenga chuo kikuu

Granton Samboja
Granton Samboja
Viongozi wa kisiasa katika kaunti ya Taita Taveta wametofautiana vikali na wawekezaji wa kibinafsi wanaolenga kujenga chuo kikuu katika eneo hilo kwa madai ya kutofuata sheria.

Gavana Granton Samboja amekashifu vikali shinikizo za kulazimisha ujenzi wa chuo hicho, licha ya wakaazi pamoja na serikali kupinga ujenzi wake kwa kile kinachodaiwa kutumia njia ya mkato ili kupata ardhi.

Wawekezaji hao wamekuwa wakihusisha na njama za kunyakua ardhi ya umma.

Solomon Muingi Junior