Viongozi Wa Kidini Watishia Kuishtaki Serikali Mahakamani

Mahakama Kuu. | image source: businessdailyafrica.com

Viongozi wa kidini kutoka Rift Valley wametishia kwenda mahakamani ili kuishinikiza serikali kubatilisha uamuzi wa kuzitangaza shule zinazofadhiliwa na makanisa kuwa za umma.

Viongozi hao wanasema serikali imechukua usimamizi wa shule hizo na hata kuziteua bodi za usimamizi.