Jamaa amekuwa akiwacharaza wanawake na 'slippers' wakiwa sokoni-Mwanamume asema

Muhtasari
  • Jamaa amekuwa akiwacharaza wanawake na 'slippers' wakiwa sokoni

Katika kitengo cha Nyahunyo na watangazaji Mbusi na Lion, mwanamume aliwataka watangazaji hao kumpa jamaa mmoja nyahunyo kwa tabia amabayo amekuwa nayo kwa mda.

Kulingana na mwanamume huyo kutoka kaunti ya Makueni, jamaa huyo amekuwa akiwacharaza wanawake kwenye makalio yao endapo wanachagua mboga sokoni.

"Kuna jamaa ambaye anafahamika kama Mutuku, amekuwa na tabia ya kuwachapa akia mama wakiwa sokoni sio kuchapa tu ila amekuwa akivua kiatu chake na kuwacharaza kwenye makalio zao

Nataka apewe nyahunyo ili awache tabia yake,nimempata mara nyingi nikienda sokoni, na amekuwa akitenda kitendo hicho kila jioni," Alisimulia mwanamume huyo.

Je jamaa huyo alistahili nyahunyo ili awache tabia yake au aendelee kutenda tabia yake.