Nyahunyo:Jamaa ataka mkewe atolewe makosa kwa kumnunulia viagra

Muhtasari
  • Jamaa ataka mkewe atolewe makosa kwa kumnunulia viagra
(kushoto) Lion (kati) Mbusi (kulia) DJ Narty
Image: Radiojambo

Je nani amekukosea mwaka huu mpya au ukivuka mwaka ili apewe adhabu yake kwa kuchapwa nyahunyo.

Leo katika nyahunyo ya kuanza mwaka jamaa alimtaka mkewe atolewe makosa kwa kumnunulia Viagra mwaka mpya.

Je baada ya kumnunulia nini kilitokea au kutendeka, huu hapa usimulizi wake.

"Nataka mke wangu atolewe makosa kwani tulipokuwa tunavuka mwaka mpya alimleta rafiki yake tusherehekee pamoja

Tulipokuwa tunanunua pombe aliikingia kwenye duka la dawa nilikuwa nafikiria ananunua dawa zake kumbe alikuwa ananinunulia viagra bila kujua

Nilifanya ngono na rafiki yake na yeye, ilhali nataka atolewe makosa kwani sikujua kwamba nilikunywa viagra, ningekufa je kama sikuwa nimekula chochote," Alisema jamaa huyo.

Je mkewe alikuwa ameanya makosa au alikuwa amepewa 'sure bet'?