(video) Patanisho! kimeumana

Muhtasari

•  Video

• Jamaa apachika mpango wa kando nyumba 

Gidi na Ghost
Gidi na Ghost

Jamaa ataka Gidi na Ghost kumsaidia kumrejesha mke wake aliyetoka baada ya mumewe kumpachika mimba mpango wa kando.

Sasa 'kimeumana' anataka mke wake arudi au ajitiye kitanzi.

Gidi na Ghost walijaribu kadri ya uwezo wao.