Wanawake wamekuwa wakinipenda kwa ajili ya kipini nilipewa kwa mganga-Mwanamume atoboa siri

Muhtasari
  • Jamaa asimulia jinsi anatumia kipini wanawake wampende
Mbusi na Lion

Kwa kweli maajabu hayatawahi kosa kushuhudiwa ama kuonekana endapo upo uhai, mwanamume mmoja alitoboa siri jinsi wanawake wamekuwa wakimpenda.

Sio kawaida ya mwanamke kumpenda tu mwanamume hivi hivi, katika kitengo cha toboa siri mwanamume huyo alisema kwamba amekuwa akitumia kipindi alipewa kwa mganga ili wanawake wampende.

Kulingana naye mwanamke wa kwanza kumpenda alikuwa mkewe mwajiri wake.

"Nilienda Makueni, kwa mganga nilipewa kipini ili wanawake waweze kunipenda, bei ya kipini ilikuwa elfu 20,000 lakini sikuwa nazo

Nilipewa kipini ya elfu kumi, mafunzo yalikuwa ya elfu tano,baada ya miezi sita huwa napeleka kipini kupewa nguvu mpya

Kuna mafuta mabyo huwa napaka ili wanawake wanipende, mwanamke wa kwanza alikuwa mke wa mwajiri wangu alinipenda mpaka tulifanya tendo la ndoa,

Pia mke wa mtoto wa mwajiri wangu nilifanya  naye ngono, napeleka kipini kuongezewa nguvu mwezi wa saba

Kuna bibi ya mwakilishi wadi ambaye ameniambia tutapatana hivi karibuni kabla ya tarehe 20 mwezi huu

Nataka kumtbolea mwajiri wangu nimwambie nilifanya ngono na mke wake na mke wa mwanawe kwa ajili ya kipini yangu," Alisimulia.

 

 

 

 

Mbusi na Lion