'Jirani yangu anasema huwa natazama ponografia,'Kipusa atoboa siri hii

Muhtasari
  • Kipusa atoboa siri, jinsi majirani wanadhani anatazama ponografia
Lion,DJ Nyc na Mbusi
Image: Studio

Siku ya JUmanne katika kitengo cha toboa siri mwanamke mmoja alitoboa siri jinsi amegadhabishwa na tabia ya jirani yake kwa kudai kwamba huwa anatazama ponografia.

Kulingana na mwanake huyo huwa hatazami mchezo huo mbaya au video hizo, kwani huwa ni yeye na mpenzi wake.

Pia alidai kwamba jirani yake amekuwa akilalamika bali alihamia eneo hilo mwezi uliopita.

"Kuana jirani yangu aliamia kwa ploti mwei jana, sasa alienda akamwambia jirani wangu kuwa huwa natazama ponografia lakini mimi huwa sitazami ponografia, huwa ni mimi na mpenzi wangu

Simuelewi kabisa, kwanza ni mwanamume, anasema hivo kwa maana ni nyumba za mabati lakini huwezi ficha chochote ata ukiweka muziki,"

Kuna baadhi ya majirani wenye tabia ya kutazama video hizo na kuweka sauti kubwa na kuwasumbua majirani wenzao.

Kwa maoni yangu sio vyema kutazama video kama hizo, kwani ni ushetani, je kulinagana na maoni yako ni vyema watu kutazama video hizo?

 

 

 

 

 

Lion,DJ Nyc na Mbusi
Image: Studio