Mimi ni mbweha mtu-Mwanamume atoboa siri

Muhtasari
  • Kulingana na mwanamume huyo amekuwa akiwatishia wakazi wa kijiji chake nyakati za usiku, kwa kubweka kama mbweha
Mbusi na Lion

Kuku wakiwa wengi wanamwwaya mtama kwenye kitengo cha toboa siri, katika kipindi cha Experience ya Mbusi na Lion teketeke.

Siku ya JUmatatu mwanamume mmoja aliwaacha mashabiki wa radiojambo wameduwaa baada ya kufichua kwamba yeye ni mbweha.

Kulingana na mwanamume huyo amekuwa akiwatishia wakazi wa kijiji chake nyakati za usiku, kwa kubweka kama mbweha.

Hii hapa siri yake;

"Nataka kuwatobolea wakazi wa kijiji changu kwamba mbweha ambaye wamekuwa wakimsikia kwa muda sasa kuwa ni mimi na wala sio mbweha wa ukweli,nilitoroka katika kijiji hicho baada ya kugundua kwamba wana kijiji watakuja kunitambua nimekuwa nikifanya hayo kwa muda sasa na kuwaogopesha wanakijiji,"Mwanamume huyo aliyoboa siri.