Vitu ambavyo dada yako anafanya ni za ushetani,' Nduguye Size 8 akumbuka wakati dada yake alikuwa anaimba nyimbo za kidunia

Size-8-before-and-after-saved-696x418
Size-8-before-and-after-saved-696x418
Mkewe DJ Mo Linet Munyali almaarufu Size 8huwafurahusha wengi kwa safari yake ya usanii tangu alipokuwa anaimba nyimbo za kidunia hadi alipobadili mwenendo wake na kuanza nyimbo za injili.

Size 8 alijuwa anakipaji cha kuimba alipokuwa na miaka,9. Msanii huyo aliinyimba nyimbo kadhaa akiwashirikisha wasanii wa humu nchini, huku kibao chake cha 'vidonge.' kikifanya afahamike kwa sana.

Msanii Bien akiwa kwenye mahojiano alisema walijuana na Size 8 wakiwa shule ya upili.

"SAA ZILE SHOW IMEFIKA CLIMAX LINET ALIKUWA ANAINGIANGA STAGE AMEVAA STYLE FULANI HIVI… ANATURN ANATWERK WASEE WANAMUANGALIA TUU." Alizungumza.

Dada yake akizungumzia safari ya Size 8 ya nyimbo za dunia alikuwa na haya ya kusema,

"Sikujihisi vyema nilipokuwa nimuangalia kwenye runinga akiwa amevalia mavazi ya nusu uchi kwa maana familia yetu tumeokoka na tunapaswa kuishi kulingana na neno la Mungu

Nilikuwa nafurahi sana alipokuwa anatoka nyumbani na kisha kurudi sikujali chochote watu walichokuwa wananzungumza." Alieleza.

Kulinganana ndugu yake msanii huyo kukua akimjua dada yake ni jambo moja nzuri sana;

"GROWING UP WITH SIZE 8 WAS VERY INTERESTING."

Hakukimya bali aliendelea kuzunguma;

"Sijawahi muona dada yangu akiimba, kwangu mimi ni mtu wa church siku moja jamaa mmoja aliniambia kuwa mambo ambayo dada yangu anafanya ni kishetani." Alieleza.

Sasa msanii huyo ana mume mmoja na watoto wawili, alisema kuwa alikuwa anafanya kile awezalo kuwafurahisha mashabiki wake;

"NILIKUWA NAONA SISHAKE VIZURI I NEED TO SHAKE MORE. I USED TO KEEP TABS ON BEYONCE JUST TO BE LIKE HER." Alizungumza Size 8.