EYsXZsDX0AMFw3y

Vuta ni kuvute! Rais akizindua mpango wa kufufua Uchumi , Ruto anagawa mbuzi

Rais Kenyatta akilihutubia taifa kuhusiana na mpangilio wa kufufua uchumi wa taifa kwa kutenga shilingi biloni 53.7 hii leo,naibuye William Ruto amekuwa katika mchakato wa kugawa mbuzi kwa baadhi ya viongozi wa dini ya Kiislamu nchini wakati huu ambapo ,waumini wa dini hiyo wanaadhimisha kumalizika kwa mfungo wa Ramadhan.

Tazama picha hizi

ImageImageImageImage

Nyufa kati ya rais Kenyatta zimeongezeka baada ya kutimuliwa kwa viongozi waliokuwa wanashabikia mrengo wa Tanga tanga ambao unaegemea upande wa Ruto.

Watu 31 wamepatikana na virusi vya corona Kenya- Rais Kenyatta asema

Hatua ya hivi karibuni ya ambayo imeongezea tofauti kati ya viongozi hao ni kutimuliwa kwa naibu spika wa seneti Kithure Kindiki,mchakato ambao ulichangia kuwepo kwa cheche za maneno baina ya Kipchumba Murkomen,Jmaes Oreno na spika wa bunge hilo KenLusaka hiyo jana.

Photo Credits: Radio Jambo

Read More:

Comments

comments