Vyakula unahitaji kula unapotaka 'kupekejeng'

tubers
tubers
Watu wengi hawafahamu vyakula ambavyo wanapaswa kula ili kuzidisha nguvu na kuongeza hamu zao chumbani. Hivi ni baadhi tu ya vyakula unavyo paswa kuvila ili kuimarisha ubabe wako katika sekta ya Pekejeng.

1.Mhogo

Watu wengi hutumia mhogo kama tu chakula cha kawaida, mhogo unaliwa ukiwa umepikwa au hata ukiwa mbichi, Lakini je wajua kwamba mhogo unaongeza uwezo wako kutamba chumbani?

Unaongeza hamu ya kupekejeng na kufanya 'mjulubeng'  kuwa tisti.

2.Njugu

Pia ni chakula ambacho kinaliwa na kila mtu hata wanawake kazi yake ni kuleta hamu ya kupekejeng. Njugu zinapatikana kwa urahisi.

3.Ndizi

Kila mtu anajua tunda la ndizi, mbali na kuongeza vitamini B mwilini na kuongeza pia potasiamu ndizi inaleta hamu sana,kwa hivo ukitaka kufanya pekejeng na kipenzi chako na huna pesa ya kutosha basi nunua ndizi ni bei nafuu na utahisi unataka kipenzi chako dakika hiyo.

4.Mchicha(spinach)

Mboga ya cchicha huliwa kama tu mboga ya kawaida, lakini mboga hii ni moto wa kuotea mbali kwani ina noa makali ya kutamba chumbani wakati wa rusha roho.

Pia yaleta mhemko kwa kuongeza damu inayotiririka chini ya kiuno cha mwanamume na kumuezesha awe na hamu ya pekejeng.

5. Mvinyo (Red wine)

Red wine ni kinywaji muhimu ukitaka kuamsha hisia za unyumba. Pia kinatumiwa sana katika hafla mbalimbali kama harusi, mwanamke akinywa glasi moja au mbili za mvinyo anapata hamu sana ya kupekejeng kuliko mwanamke ambaye hajakunywa chochote.

6.Chokoleti

Habari njema kwa wanaopenda kula chokoleti, huleta hamu pia kwa wanaotaka kurusha roho.

7. Burger 

Pia kinapikwa kila mtaa nchini na kina pendwa sana na wanawake, chakula hiki kinaleta hamu pia ya pekejeng.