Vyakula unavyopaswa kuepuka kununua katika maduka makubwa

Maduka makubwa sasa yamesemekana kuwa wanauza bidhaa hatari ambazo zinadhuru afya ya mtu.

Baadhi ya vyakula vinavyouzwa katika maduka hayo makubwa 'supermarket' yamepatikana kuhifadhiwa na chemicali zinazodhuru afya ya binadamu.

Baadhi ni aina ya vyakula hivyo.

  1. Nyama iliyohifadhiwa

Siku ya Jumapili, ripoti kuhusu nyama zinazopatikana katika maduka makubwa zilikuwa kwenye vichwa vya habari baada ya kujulikana kuwa Wakenya wamekuwa

wakizila nyama zinazokuwa zimehifadhiwa na kemikali hatari.

2. Matunda na mboga zilizokatwa kabla ya kununuliwa

Mboga na matunda yaliokatwa kabla ya kununuliwa pia yanasemekana kuwa si mazuri, kwani yanahifadhiwa na kemikali zinazoweza kudhuru afya ya mtu.

Soma mengi