Waiguru's mother together with Michael 1

Tazama picha zaidi za mamake Waiguru katika harusi yake

Leo ni harusi ya gavana Anne Wiaguru. Waheshimiwa mbali mbali akiwemo rais Uhuru Kenyatta na aliyekuwa waziri mkuu Raila Odinga wanatarajiwa kuhudhuria sherehe hiyo.

Terry Mungai, Miss World CEO at the event
Terry Mungai, Mkuregnzi mkuu wa Miss World katika sherehe hiyo

Muriuki Michael ambaye ni ndugu yake mkubwa wa Waiguru alizungumza na The Star wakati wa sherehe na kusema kuwa siku hii ni yenye furaha tena sana kwao kama familia.

Waiguru's traditional wedding 2
Harusi ya kitamaduni ya Waiguru

Aliongeza kuwa ndugu zake wote wamehudhuria sherehe hiyo ili kushuhudia dada yao akifunga pingu za maisha. Alisema, “We are happy that they have made this decision and they have our blessings as a family and we wish them all the best.”

Akizungumza katika sherehe hiyo mamake Waiguru alisema, “We have accepted Waiganjo especially, me as Mumbi’s mother I have embraced him.  I am very happy. God gave me one son and now I have another one called Kamotho Waiganjo. So I am very happy. We have accepted him with both hands as the entire family. We can never do anything bad to him.”

Tazama picha zaidi za dadake Waiguru na mamake;

Waiguru's sister in the glasses
Dadake Waiguru aliyevaa miwani.
Waiguru's mother together with Michael
Mamake Waiguru na ndugu yake Michael

Picha za harusi ya Waiguru na mpenziwe Waiganjo

Read here for more

Photo Credits: Hisani

Read More:

Comments

comments