Wakenya wamtakia Chimano heri njema siku ya kuzaliwa

Chimano_Socialite-500x483
Chimano_Socialite-500x483
Kama ilivyo desturi, wakenya wamechukua fursa zao kumtakia mkali wa Sauti Sol Willis Austine Chimano dau njema anaposherehekea siku yake ya kuzaliwa.

Kwenye mtandao wa instagram, Sautisol iliandika ujumbe mfupi wa kumtakia mkali huyo wao furaha siku yake ya kuzaliwa huku pia ikiwapa wakenya fursa nyingine ya kumtakia Chimano furaha siku yake ya kuzaliwa.

_k.e.b.a.s.o_:Happy birthday elevator guy😂💕💖to more good sweet life🔥

jack_obare:I like his bass, hbd mano

d.owney1:Endelea kukula lyf na adabu✊🏽

wanja_wa_njenga:Apewe kuku 😂😂😂😂😂😂. Cheers 🍻 baba to many more🎉

sirlikhanga:Birthday blessings “mlumluwaKama ilivyo desturi,wakenya wamechukua fursa zao kumtakia mkali wa sauti sol Willis Austine Chimano dau njema anaposherehekea siku yake ya kuzaliwasi”

sirlikhanga:Birthday blessings “mlumluwasi”

Je, wewe huwatakia marafiki zako furaha siku zao spesheli  kwa kufanya nin?