Wakenya wamuomba Dennis Itumbi ampachike Maribe mimba!

Daah! ama kwa hakika wakenya wanapenda kumchezea Itumbi shere sana.

Aliyekuwa mkurugenzi wa dijitali wa State House, bwana Dennis Itumbi, aliweka picha kwenye mtandao wa kijamii na aliyekuwa naye kwenye picha hiyo ilikuwa ni mrembo afananaye na Jacque Maribe.

Mashabiki wa Dennis Itumbi walimuomba Itumbi amuoe binti huyu Jacque na wengi wao kusema kuwa watapendeza sana pamoja. Hata hivyo, ombi hilo ni ndoto tu kwani ni dhahiri kuwa, Maribe amemweka jamaa huyu kwenye friend zone.

Kwa sasa, Dennis na Maribe ni marafiki wa chanda na pete aisee! Marafiki wa kufa kupona.

      Yafuatayo ni orodha ya maoni ya mashabiki wa Dennis Itumbi.

nickykarisky We oa 😂😂😂unangoja maembe ya Maribe iive na kuna wenye wanakula ikiwa na chumvi.

olekaryz Kipendacho roho ni dawa.

collins_presidente Game changer,,, yo turning our Yengs on.

254official You have earned it sir.

namalwa_chesoli Mapenzi yarun dunia.

masengula_i_am_daddy_brodehl Jowie ana kula maharagwe @dennisitumbi wewe nawe ni kukula Maribe😢.

smatasi  Have started taking care of that son of yours you sired.

edilidemkambeo Funga goal.

Licha ya hayo, hivi juzi, kuna mwanamke mmoja alimshatki Itumbi kwa kutogharamia malezi ya mtoto wao na hata kusema kuwa kuna wakati ambao Itumbi alimshawishi aavye ujauzito huo.

Kupitia kwa wakili Enricah Dulo, inasemekana akuwa Dennis alijaribu kumshawishi mama ya mtoto wake aavye mimba baada ya kugundua kuwa binti huyu alikuwa na mimba. Hata hivyo, mpango wake uliambulia patupu.

ON OCTOBER 26, 2018, ITUMBI INVITED THE APPLICANT FOR A MEETING WHERE HE AGAIN TRIED TO CONVINCE HER TO ABORT. HE SERVED HER A DRINK AND IMMEDIATELY SHE LEFT THE MEETING, SHE STARTED BLEEDING,” wakili alisema.