Wako pamoja: Alikiba awanyamazisha waliodai wametengana na mkewe

Msanii wa bongo wa Tanzania Alikiba amethibitisha hawajatengana na mkewe, hii ni baada ya uvumi kuenea sana kwenye mitandao ya kijamii kuwa wawili hao wametengana.

Amehakikisha kuwa wako pamoja na mkewe na mapenzii yao yanazidi kunoga na hata kuzidi kukuwa baada ya kuposti picha kwenye mitandao ya kijamii wakipamoja na mkewe Amina Khalef.

Hivyo basi, picha hii inathibitisha kuwa penzi lingalipo na wawili hao wanafurahia maisha kwa pamoja.

Baada ya mashabiki wake kuona picha yake msanii Alikiba waliwasifia huku wengi wakiwatakia ndoa njema, hizi hapa baadhi ya jumbe za mashabiki;

https://www.instagram.com/p/CEyL4b5DTGy/

: ❤️❤️wameanza kufanana
: couple boraaaa
: sema mke wake ni 🔥🔥🔥
Naipenda hii couple hatari mungu azdi kuiongoza siku zote
Hizi bdo couple za kusimamia Sasa ..siyo unasimama kwenye couple unayumbishwa Kama mla unga👌😂🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️
 :🔥🔥🔥penzi limerudi upya