Kansime alifichuwa yote vile wakosoaji wake walivyo sema aliuza utumbo wake wa uzazi ili awe maarufu kwa kazi yake ya ucheshi.
"Watu wengine walikuwa wanajaribu kujua kwanini si kupata mtoto na aliyekuwa mume wangu Jerald Ojok." Kansime Alisema.
Aliongeza na kusema kuwa tumbo lake la uzazi liko na hajauza chochote kutoka kwa mwili wake na hangetaka kujifungua ilim kuudhibitishia wanaomkosoa kuwa bado yuko na utumbo wake wa uzazi.
"Ni uongo kuwa niliuza tumbo la uzazi, lakini kwa sababu walisema niliuza tumbo la uzazi, lakini sehemu ambayo inayouma nikuwa hata kama maneno hayo siya ukweliHakuna vile unaweza to tumbo la uzazi uwaonyeshe ili wafahamu bado liko na viungo vile vingine vya mwili." Aliongea.
Alisema kuwa iwapo angekuwa ameuza kiungo nicho muhimu katika mwili wake basi angewafahamishi wanaomkejeli pia wao waende kule na kufanyiwa upasuaji ili wapate umaarufu jinsi wanavyosema .
"Ningewaeleza watu ambao wanasikia kutoa tumbo lao la uzazi kwa ajili ya fora,mahala nilienda kutoa langu kama walivyosema."Alinena Anne.
Anne Kansime ambaye anafahamika sana kwa kipindi chake cha 'Don't Mess With Kansime' walipeana talaka na mume wake na mpenzi mwingine wa roho yake.
Kansime na Sky Lanta
Mpenziwe Kansime Anafahamika kama Sky Lanta na ni msanii.